Kigana ni lugha ya Kiaustronesia nchini Malaysia inayozungumzwa na Wagana. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kigana imehesabiwa kuwa watu 1000. Kwa vile Wagana wengi wameanza kuacha lugha yao na kutumia lugha nyingine badala yake, lugha ya Kigana iko hatarini mwa kutoweka hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigana iko katika kundi la Kiborneo-Kaskazini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigana kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.