Kigaro ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi na Bangladesh inayozungumzwa na Wagaro. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kigaro nchini Uhindi imehesabiwa kuwa watu 889,000. Pia kuna wasemaji 120,000 nchini Bangladesh (2005). Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigaro iko katika kundi la Kisal.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigaro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.