Kigarrwa

lugha ya asili ya Australia

Kigarrwa (au Kigarawa) ni lugha ya Kiyanyi nchini Australia inayozungumzwa na Wagarrwa katika jimbo la Northern Territory. Mwaka wa 2012, kulikuwa na wasemaji wa Kigarrwa 59 tu, yaani lugha imekaribia kutoweka kabisa hivi karibuni.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigarrwa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.