Kigbati-ri
Kigbati-ri ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wagbati-ri. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigbati-ri imehesabiwa kuwa watu 21,000. Kigbati-ri hakijaainishwa kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigbati-ri kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigbati-ri Ilihifadhiwa 15 Juni 2011 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigbati-ri katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/gti
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigbati-ri kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |