Kighanongga ni lugha ya Kiaustronesia nchini Visiwa vya Solomon inayozungumzwa na Waghanongga kwenye kisiwa cha Ranonga. Mwaka wa 1999 idadi ya wasemaji wa Kighanongga imehesabiwa kuwa watu 2510. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kighanongga iko katika kundi la Kioseaniki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kighanongga kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.