Kighomala'
(Elekezwa kutoka Kighomala' (lugha))
Kighomala' ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waghomala'. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kighomala' imehesabiwa kuwa watu 260,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kighomala' iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kighomala' kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kighomala' Archived 8 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kighomala' katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bbj
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kighomala' kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |