Kigimi ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wagimi. Isichanganywe na lugha nyingine iitwayo Kigimi, yaani Kigimi-Loko. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kigimi imehesabiwa kuwa watu 22,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigimi iko katika kundi la Kigorokan.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigimi-Labogai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.