Kigimi-Loko
Kigimi (pia Kiloko) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Wagimi. Isichanganywe na lugha nyingine iitwayo Kigimi, yaani Kigimi-Labogai. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kigimi imehesabiwa kuwa watu 3700. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigimi iko katika kundi la Kioseaniki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigimi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigimi Archived 9 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigimi katika Glottolog
- lugha ya Kigimi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigimi-Loko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |