Kigiyug

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kigiyug kilikuwa lugha ya Kidaly nchini Australia iliyozungumzwa na Wagiyug katika jimbo la Northern Territory. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kigiyug, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigiyug kiko katika kundi la Kiwagaydy lakini wengine husema kwamba hakihusiani na lugha nyingine yoyote.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigiyug kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.