Kigiziga-Kusini
Kigiziga-Kusini ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wagiziga. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigiziga-Kusini imehesabiwa kuwa watu 60,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigiziga-Kusini iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigiziga-Kusini kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigiziga-Kusini Ilihifadhiwa 1 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigiziga-Kusini katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/giz
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigiziga-Kusini kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |