Kiglaro-Twabo ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia inayozungumzwa na Waglaro na Watwabo. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiglaro-Twabo nchini Liberia imehesabiwa kuwa watu 4270. Pia kuna wasemaji nchini Cote d'Ivoire; idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiglaro-Twabo iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiglaro-Twabo kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.