Kiglavda
Kiglavda ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria na Kamerun inayozungumzwa na Waglavda. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kiglavda nchini Nigeria imehesabiwa kuwa watu 28,500; mwaka wa 1982 wasemaji 2800 wamehesabiwa nchini Kamerun. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiglavda iko katika kundi la Kichadiki.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiglavda kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiglavda Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiglavda katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/glw
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiglavda kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |