Kiglio-Oubi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Liberia na Cote d'Ivoire inayozungumzwa na Waglio na Waoubi. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kiglio-Oubi imehesabiwa kuwa watu 3500 nchini Liberia na watu 2500 nchini Cote d'Ivoire. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiglio-Oubi iko katika kundi la Kikru.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiglio-Oubi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.