Kigoemai (pia Kiankwe) ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wagoemai. Lugha ya Kigoemai huandikwa na alfabeti ya Kilatini. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kigoemai imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigoemai iko katika kundi la Kichadiki.

Sarufi hariri

Lugha ya Kigoemai kwa jumla ni lugha tenganishi, na mpangilio maneno ni kiima-kitenzi-yambwa.

Matumizi hariri

Kigoemai hutumika katika programu za redio.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigoemai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.