Kigoreng
Kigoreng kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wagoreng katika jimbo la Australia Magharibi. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea lugha hii, yaani lugha ya Kigoreng ilitoweka. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigoreng kiko katika kundi la Kinyungar.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigoreng kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigoreng Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigoreng katika Glottolog
- lugha ya Kigoreng katika Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigoreng kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |