Kigowro ni lugha ya Kihindi-Kiulaya nchini Pakistan inayozungumzwa na Wagowro. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kigowro imehesabiwa kuwa watu 200. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigowro iko katika kundi la Kiaryan.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigowro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.