Kigula-Iro ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Chad inayozungumzwa na Wagula. Mwaka wa 1991 idadi ya wasemaji wa Kigula-Iro imehesabiwa kuwa watu 3500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigula-Iro iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigula-Iro kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.