Kigundi ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wagundi. Wataalamu wengine huiangalia kuwa lahaja ya Kibaka. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kigundi imehesabiwa kuwa watu 9000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kigundi iko katika kundi la Kiadamawa-Ubangi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigundi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.