Kigungu (lugha)
Kigungu (pia Lugungu) ni lugha ya Kibantu nchini Uganda inayozungumzwa na Wagungu. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kigungu imehesabiwa kuwa watu 49,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kigungu iko katika kundi la J10.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigungu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigungu Ilihifadhiwa 22 Septemba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kigungu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/rub
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigungu (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |