Kigurung-Magharibi
Kigurung ya Magharibi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Nepal, Uhindi na Myanmar inayozungumzwa na Wagurung. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kigurung ya Magharibi imehesabiwa kuwa watu 125,000 nchini Nepal na 33,000 nchini Uhindi. Idadi ya wasemaji nchini Myanmar haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kigurung ya Magharibi iko katika kundi la Kibodish.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kigurung ya Magharibi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kigurung ya Magharibi Archived 3 Oktoba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kigurung ya Magharibi katika Glottolog
- lugha ya Kigurung ya Magharibi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kigurung-Magharibi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |