Kigyele ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Wagyele. Idadi ya wasemaji wa Kigyele nchini Kamerun imehesabiwa kuwa watu 4250. Pia kuna wasemaji wachache nchini Guinea ya Ikweta. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kigyele iko katika kundi la A80.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kigyele kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.