Kihaji ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Wahaji kwenye kisiwa cha Sumatra. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kihaji imehesabiwa kuwa watu 17,500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihaji iko katika kundi la Kimalayiki. Takriban asilimia 30 za msamiati wa Kihaji ni maneno makopo kutoka Kilampung.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihaji kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.