Kihamba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wahamba. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kihamba imehesabiwa kuwa watu 13,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihamba iko katika kundi la D20.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihamba (lugha) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.