Kihatam (pia Kimansim) ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Wahatam. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kihatam imehesabiwa kuwa watu 16,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kihatam haihusiani na lugha nyingine.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihatam kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.