Kihunde
lugha ya Kibantu inayozungumzwa katika Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo
Kihunde ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo inayozungumzwa na Wahunde. Mwaka wa 1980 idadi ya wasemaji wa Kihunde imehesabiwa kuwa watu 200,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kihunde iko katika kundi la J50.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kihunde kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kihunde Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kihunde katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/hke
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kihunde kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |