Kihya ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Kamerun inayozungumzwa na Wahya. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kihya imehesabiwa kuwa watu 940 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kihya iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kihya kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.