Kiibibio
Kiibibio ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waibibio. Lugha ya Kiibibio hutumiwa kama lugha ya kibiashara katika Jimbo la Akwa Ibom ambapo hata chuo kikuu hutoa masomo ya Kiibibio. Idadi ya wasemaji wa Kiibibio haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiibibio iko katika kundi la Cross River.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiibibio kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiibibio Ilihifadhiwa 8 Oktoba 2014 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiibibio katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/ibb
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiibibio kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |