Kiibu ni lugha ya Kipapua nchini Indonesia inayozungumzwa na Waibu. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiibu imehesabiwa kuwa watu 35 tu, maana imeaminika kuwa lugha imeshatoweka kabisa mpaka sasa. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiibu iko katika kundi la Kipapua ya Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiibu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.