Kiiceve-Maci
(Elekezwa kutoka Kiiceve-Maci (lugha))
Kiiceve-Maci ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waiceve-Maci. Mwaka wa 1990 idadi ya wasemaji wa Kiiceve-Maci imehesabiwa kuwa watu 7000. Pia kuna wasemaji 5000 nchini Nigeria. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiceve-Maci iko katika kundi la Kitivoidi ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiiceve-Maci kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiiceve-Maci Archived 7 Mei 2017 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiiceve-Maci katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/bec
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiiceve-Maci kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |