Kiidu-Mishmi
Kiidu-Mishmi ni lugha ya Kisino-Tibeti nchini Uhindi inayozungumzwa na Waidu-Mishmi. Mwaka wa 2001 idadi ya wasemaji wa Kiidu-Mishmi imehesabiwa kuwa watu 11,000. Pia kuna wasemaji themanini nchini Uchina ambapo lugha huitwa Kiluoba ya Yidu, na wasemaji huitwa Waluoba. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiidu-Mishmi iko katika kundi la Kidigaro.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiidu-Mishmi kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiidu-Mishmi Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiidu-Mishmi katika Glottolog
- lugha ya Kiidu-Mishmi kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiidu-Mishmi kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |