Kiife ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Togo na Benin inayozungumzwa na Waife. Mwaka wa 2002 idadi ya wasemaji wa Kiife nchini Togo imehesabiwa kuwa watu 102,000. Pia kuna wasemaji 80,000 nchini Benin. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiife iko katika kundi la Kiyoruboidi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiife kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.