Kiiha ni lugha ya Kivuka-Guinea Mpya nchini Indonesia inayozungumzwa na Waiha. Mwaka wa 1987 idadi ya wasemaji wa Kiiha imehesabiwa kuwa watu 5500. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiha iko katika kundi la Kibomberai-Magharibi.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiha kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.