Kiikizu (pamoja na lahaja ya Kisizaki au Kishashi) ni lugha ya Kibantu nchini Tanzania inayozungumzwa na Waikizu. Mwaka wa 2005 idadi ya wasemaji wa Kiikizu-Sizaki imehesabiwa kuwa watu 55,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiikizu-Sizaki iko katika kundi la E40.

Viungo vya nje hariri

Marejeo hariri

  • Maho, Jouni & Bonny Sands. 2002. The languages of Tanzania: a bibliography. (Orientalia et africana gothoburgensia, no 17.) Göteborg: Acta Universitatis Gothoburgensis. Pp ix, 428. ISBN 91-7346-454-6

Kitabu hiki kinataja marejeo mengine kama:

  • Marwa, Sebastiani Muraza. 1988. Mashujaa wa Tanzania. Mtemi Makongoro wa Ikizu: historia ya Mtemi Makongoro na kabila lake la Waikizu mwaka 1894 hadi 1958. Peramiho (Tanzania) & Ndanda (Tanzania): Benedictine Publications. Kurasa 67. [ISBN 9976-63-183-9]
  • Johnston, Harry. 1920. The Ki-shashi (Ki-sasi) language (S. E. Victoria Nyanza). Journal of the African Society, 19, uk.210-213.
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiikizu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.