Kiiko ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Nigeria inayozungumzwa na Waiko katika vijiji vitatu vya Jimbo la Akwa Ibom. Mwaka wa 1988 idadi ya wasemaji wa Kiiko imehesabiwa kuwa watu 5000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiko iko katika kundi la Cross River.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiiko kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.