Kiile-Ape (pia Kinusa-Tadon) ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waile-Ape kwenye kisiwa cha Lembata. Mwaka wa 2008 idadi ya wasemaji wa Kiile-Ape imehesabiwa kuwa watu 15,000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiile-Ape iko katika kundi la Kibima-Lembata.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiile-Ape kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.