Kiimroing ni lugha ya Kiaustronesia nchini Indonesia inayozungumzwa na Waimroing kwenye kisiwa cha Babar. Mwaka wa 2007 idadi ya wasemaji wa Kiimroing imehesabiwa kuwa watu 560 tu. Tena, Waimroing wengi wameanza kuacha lugha yao, maana yake Kiimroing iko hatarini kutoweka kabisa hivi karibuni. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiimroing iko katika kundi la Kibabar.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiimroing kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.