Kiiranun
Kiiranun ni lugha ya Kiaustronesia nchini Ufilipino na Malaysia inayozungumzwa na Wairanun. Mwaka wa 1981 idadi ya wasemaji wa Kiiranun nchini Ufilipino imehesabiwa kuwa watu 241,000. Pia kuna wasemaji 15,000 nchini Malaysia (2000). Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiiranun iko katika kundi la Kifilipino.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiiranun kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiiranun Ilihifadhiwa 3 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiiranun katika Glottolog
- lugha ya Kiiranun kwenye Ethnologue
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiiranun kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |