Kiisaka (pia Kikrisa) ni lugha ya Kipapua nchini Papua Guinea Mpya inayozungumzwa na Waisaka. Mwaka wa 2003 idadi ya wasemaji wa Kiisaka ilihesabiwa kuwa watu 420. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kiisaka iko katika kundi la Kiskou.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kiisaka kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.