Kiisu
Kiisu ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Waisu. Mwaka wa 1994 idadi ya wasemaji wa Kiisu imehesabiwa kuwa watu 10,400. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kiisu iko katika kundi la Grassfields ambalo linafanana na lugha za Kibantu.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiisu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiisu Archived 30 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kiisu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/isu
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiisu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |