Kiisubu
Kiisubu ni lugha ya Kibantu nchini Kamerun inayozungumzwa na Waisubu. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kiisubu imehesabiwa kuwa watu 800 tu. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kiisubu iko katika kundi la A20.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kiisubu kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kiisubu Ilihifadhiwa 2 Oktoba 2015 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kiisubu katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/szv
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kiisubu kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |