Kijaitmatang kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wajaitmatang katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kijaitmatang, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijaitmatang kiko katika kundi la Kiyuin.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijaitmatang kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.