Kijandai

lugha ya asili ya Australia iliyotoweka

Kijandai kilikuwa lugha ya Kipama-Nyungan nchini Australia iliyozungumzwa na Wajandai katika jimbo la Victoria. Hakuna wasemaji ambao wamebaki kuongea Kijandai, yaani lugha imetoweka kabisa. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijandai kiko katika kundi la Kidurubuliki.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijandai kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.