Kijarawa ni lugha ya Kiandamani nchini Uhindi inayozungumzwa na Wajarawa visiwani mwa Andaman. Mwaka wa 2006 idadi ya wasemaji wa Kijarawa imehesabiwa kuwa watu 250. Kufuatana na uainishaji wa lugha, Kijarawa iko katika kundi la Kiandamani-Kusini.

Viungo vya nje hariri

  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijarawa (Uhindi) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.