Kijimi ni lugha ya Kiafrika-Kiasia nchini Nigeria inayozungumzwa na Wajimi. Isichanganywe na Kijimi ya Kamerun. Mwaka wa 1995 idadi ya wasemaji wa Kijimi imehesabiwa kuwa watu 1000. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijimi iko katika kundi la Kichadiki.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijimi (Nigeria) kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.