Kijivu
Kijivu (kwa Kiingereza: "grey") ni jina la aina za rangi zinazocheza kati ya nyeusi na nyeupe kwa kuzichanganya kwa kadiri tofautitofauti.
Jina la rangi hiyo linatokana na majivu. Simiti ina rangi ya kijivu, pia tembo inaweza kuonyesha rangi hiyo.
Aina za kijivu
haririKuna aina nyingi za kijivu na jedwali la hapo chini linaonyesha aina mbalimbali zinazopatikana kwa matumizi ya intaneti kwa kutaja majina ya Kiingereza.
|
Warm grey | Cool grey |
Mixed with 6% yellow. | Mixed with 6% blue. |