Kijukun-Takum ni lugha ya Kiniger-Kongo nchini Kamerun inayozungumzwa na Wajukun-Takum. Mwaka wa 1982 idadi ya wasemaji wa Kijukun-Takum imehesabiwa kuwa watu 2440. Pia kuna wasemaji wachache nchini Nigeria. Lugha hiyo pia hutumiwa kama lugha ya kibiashara na watu wengi zaidi. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kijukun-Takum iko katika kundi la Kijukunoidi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kijukun-Takum kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.