Kikaamba
lugha ya Kibantu, kutoka katika kundi la lugha ya Kikongo, inayozungumzwa na Wakamba katika Jamhuri ya Kongo
Kikaamba ni lugha ya Kibantu nchini Jamhuri ya Kongo inayozungumzwa na Wakaamba. Mwaka wa 2000 idadi ya wasemaji wa Kikaamba imehesabiwa kuwa watu 3020. Kufuatana na uainishaji wa lugha za Kibantu wa Malcolm Guthrie Kikaamba iko katika kundi la H10.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kikaamba kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kikaamba Ilihifadhiwa 4 Februari 2017 kwenye Wayback Machine.
- lugha ya Kikaamba katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/xku
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaamba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |