Kikaba ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Jamhuri ya Afrika ya Kati na Chad inayozungumzwa na Wakaba. Mwaka wa 1996 idadi ya wasemaji wa Kikaba nchini Afrika ya Kati imehesabiwa kuwa watu 72,000. Pia kuna wasemaji 11,000 nchini Chad. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaba iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaba kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.