Kikaba-Deme
Kikaba-Deme ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wakaba. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikaba-Deme nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 40,000. Pia kuna wasemaji nchini Afrika yaKati ambao idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaba-Deme iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.
Viungo vya nje
hariri- lugha ya Kideme kwenye Multitree
- makala za OLAC kuhusu Kideme Archived 23 Septemba 2015 at the Wayback Machine.
- lugha ya Kideme katika Glottolog
- http://www.ethnologue.com/language/kwg
Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu. Je, unajua kitu kuhusu Kikaba-Deme kama historia yake, uenezi au maendeleo yake? Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa? Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari. |