Kikaba-Naa ni lugha ya Kinilo-Sahara nchini Chad na Jamhuri ya Afrika ya Kati inayozungumzwa na Wakaba. Mwaka wa 1993 idadi ya wasemaji wa Kikaba-Naa nchini Chad imehesabiwa kuwa watu 35,000. Pia kuna wasemaji nchini Afrika yaKati ambao idadi yao haijulikani. Kufuatana na uainishaji wa lugha kwa ndani zaidi, Kikaba-Naa iko katika kundi la Kibongo-Bagirmi.

Viungo vya nje

hariri
  Makala hii kuhusu mambo ya lugha bado ni mbegu.
Je, unajua kitu kuhusu Kikaba-Naa kama historia yake, uenezi au maendeleo yake?
Labda unaona habari katika Wikipedia ya Kiingereza au lugha nyingine zinazofaa kutafsiriwa?
Basi unaweza kuisaidia Wikipedia kwa kuihariri na kuongeza habari.